Kitabu cha ujasiriamali: Msambazaji vitabu anahitajika

MarkD

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
72
Reaction score
43
Mimi ni mwandishi wa makala ya kauli ya mjasiriamali katika gazeti la Mwananchi linalotoka kila siku ya Alhamis na pia ni mwajiriwa katika benki mojawapo hapa nchini. Nimeandika kitabu juu ya ujasiriamali na kinatoka wiki hii. Kutokana na muda wangu kuwa mdogo nahitaji mtu mwenye uwezo mzuri na muda wa kutosha kusimamia suala zima la usambazaji na uuzaji kitabu hicho. Tafadhali tuwasiliane mapema iwezekanavyo 0712 066 064 au 0753 12 54 74 Mr. Staphord Kwanama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…