Wadau habari za jioni ,nadhani wote Ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za uzalishaji Mali.
Nahitaji msaada ,Kwa yoyote mwenye soft copy ya kitabu chochote kinachohusiana na ujasiriamali pamoja na kilimo/ufugaji naomba anitumie.
Kitabu hicho kiwe kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili au kiingereza
Au kama hauna soft copy ya kitabu hicho unaweza nisaidia hata jina la kitabu na Bei yake.
Nawasilisha..