hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
📚 KITABU CHA ZABURI YA 1 - 10
🗞Dondoo Muhimu unaposoma kitabu hiki chenye vitabu 5 ndani yake.
(Kitabu cha kwanza Zaburi ya 1 - 41)
1. kipindi ukristo unapita kwenye marekebisho moja ya kitu kikubwa walichokitumia ni nyimbo
Luther anasema reformation isingewezekana bila mambo mawili
...walipoamua kufanya kazi kubwa ya kutafsiri biblia
....Zaburi, nyimbo na music ilikua pia ni chachu kubwa sana kwenye kufanikisha reformation
2. Ukitaka kutengeneza maisha yako ya maombi unaweza kutumia zaburi
3. Kwenye zaburi kwenye pambizo kuna maneno mfano; kwa muimbishaji, awala za music n.k,,, tukikutana na maneno kama hayo yatupasa kuwa maakini maana hiyo zaburi itakua na maelekezo maalumu
4. Sura ya117 ndio sura fupi kuliko zote na 119 ni ndefu kuliko zote
Katika Zaburi zote Daudi ndiye kinara ameandika zaburi 73
5. Hiki kitabu Yesu amekinukuu mara 11 na ndio kitabu alichokonukuu mara nyingi kuliko vitabu vyote
6. Kwenye hivi vitabu vitano,,, vinafanana na vitabu vitano vya torati
7. Kwenye kila kitabu mwishoni kunaishia na neno Amen
8. Zaburi ipo kwaajili ya kuenjoy, kuibua hisia na kurekebisha hisia na brain
9. Zingatia sana kichwa unaposoma
10. Zaburi ni maalumu kwaajili ya meditation
🔹️Zaburi ya 1
Hii ni zaburi ya hekima na ni ufunguo wa zaburi zote
🔹️Zaburi ya 2
Hii ni zaburi za kifalme
Daudi alikua akijiimbia na kujisemea yeye na pia alikua akimtabiria Yesu
🔹️Zaburi ya 3
Hii daudi aliimba akiwa anamkimbia absalomu
🔹️ Zaburi ya 4
Zaburi hii mwimbishaji anatakiwa atumie ala za muziki za nyuzi
Na inatakiwa iimbwe public na watu wote
Hii ni zaburi ya kulinda jioni
Daudi aliimba jioni iliapate msaada
🔹️Zaburi ya 5
Inataka muimbishaji atumie filimbi
Hii ni zaburi inayotakiwa kuimbwa asubuhi
Daudi aliyomba asubuhi
🔹️Zaburi ya 6
Hii ni zaburi ya maombolezo
Na inatakiwa kutumia mziki wa taratibu
Daudi aliimba hii zaburi akiomboleza kwasababu kuna kosa alifanya na dhambi zikamsababishia hofu na vitisho
🔹️ Zaburi ya 7
Aliimba Daudi na inamtaja kushi mbenjamini
Daudi aliimba kutokana na Upinzani aliopata kwa kushi mbenjamini
🔹️ Zaburi ya 8
Hii ni zaburi ya kumtukuza Mungu kwa ukuu wake,
Na Daudi aliimba kwasababu ya yale ambayo Mungu amemtendea
🔹️ Zaburi ya 9
Hii ni zaburi ya kuimba kwa kupokezana na hurudia baadhi ya maneno kuonyesha msisitizo
Na hii pia huimbwa wakati wa sifa na shukrani
🔹️ Zaburi ya 10
Ni zaburi ya maombolezo
Na maombolezo haya ana complain kwanini wenye dhambi na waovu wanafanikiwa
Na anamtaka Mungu aingilie kati wasiendelee katika ubaya wao wastop