Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

Kitabu changu cha mwanzo cha biashara

Travis Walker

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2017
Posts
323
Reaction score
334
Habari wakuu.

Hii ni mara yangu ya kwanza kuandika kitabu kinachohusiana na biashara pamoja na mafanikio. Kitabu hiki kimekubaliwa kuwa published on Amazon na publishers nyengine zinashirikiana na Amazon ya USA na UK. Kipo digital kwenye Amazon Kindle pia unaweza kupata kopi ya kitabu. Kama Mtanzania mwenzangu naomba unisuppoti kwa kujipatia nakala yako.

Kupata on Amazon Binya Hapo chini
Amazon product ASIN B0BQC4RBKH
 
Ungetuwekea hata summary tu basi ya hicho kitabu kwa sisi ndugu zako wa humu jukwaani, ili tufaidi matunda ya mwana jamii forums mwenzetu.
 
Hongera sana, Niko very proud japo hata sikujui 😂... This is weird
 
Hakuna cover, hakuna introduction,hakuna Jina la mwandishi,hakuna Jina la kitabu

Haya mkuu Hongera Kwa hatua uliyofikia...! acha wakakusapoti
 
Back
Top Bottom