Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?


"Karumekenge" ni kitabu kizuri sana kilinifanya nipende shule na kupata mafanikio niliyonayo leo.
 

Someni kwa Furaha
 

"Enjoy your life" by Aidh al qarni.
 
1-Holy bible(best of all time)
2-power of postive thinking-Norman VP
3-stop worring and start living-DC
4-jinsi ya kutoka kwenye umasikini adi mafanikio cha Erick James Shigongo
 

Bible na
Gifted hand ( kwa wazazi especial single mom n kitabu kizuri katika malezi na huu utandawazi wetu pili kinatia moyo sana ktk maisha)
 
Dreams Die First by Harold Robin. Hatariiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…