Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Biblia, yaani hapa ni kila kitu hakuna kitu ambacho hakijaandikwa humu,na ukisoma na ukaweka moyoni basi jua kwamba maisha yako yatakuwa nafuu sana kama si mazuri,ukiwa na huzuni kuna kufarijika,kuna kupewa nguvu na afya katika hiki kitabu,hakina udini maana Mungu hakuwa na dini,hivyo kila mtu anaweza kukisoma.
 
inshaza ufafanuzi kuhusu masuala ya chama cha ccm by pius msekwa, Tujisahihishe by mwl.nyerere, A decade of the multiparty politics in Tanzania pius msekwa, Why we want you to be rich by robert kiyosaki & donald trump, Think big by dr,ben carson, pan africanism or pragmatism by shivji, From goat herd to govoner by edwin mtei, Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru zanzibar na mapinduzi ya Afribia, The Life and times of Abdulwahib Sykes(1924_1968) ,
 

Biblia imejifunga sana katika layers kadhaa. Ukiingia kichwa kichwa unabaki mweupe au unaambulia contradiction. Mfano unajifunza nini katika kitabu cha ayubu waliokuwa wanamkataza ayubu alieonekana kutamka maneno ya kukufuru Mungu aliwabana wakati ayubu akihesabiwa haki na kupewa utaratibu wa kuwaombea toba rafiki zake.
 
Samaritan Strategy Africa
hichi kitabu kimebadilisha
maisha ya watu weng wa Africa
 
Learning the hard way - Yusuph akilimali

The stranger in the mirror - Sydney Sheldon

The zahir- Paulo coelho

Dreams memories and reflection- Carl gustav Jung

Stranger In the mirror niliona movie yake
 
Gifted hand - benny carson

Nilikisoma nikiwa advance level kilinipa motisha wa kusoma sana...
 
Ndugu zangu ninahitaji msaada wa kujua kitabu hichi cha HI-TECH REVOLUTION KINAHUSU NINI?
 
Someni hivi vitabu: kama hautauaga umasikini nishitaki
1. Cashflow quadrant
2. Rich dad poor dad
 
Rich dad poor dad, lile swali mtoto alilomuuliza baba yake niliamua kulifanyia kazi nisijekuulizwa kama vile
 
Moses in troubles vilinifanya nijifunze kwa kasi shuleni ;-(
 
The magic of thinking big
By Dr David Schwartz
The best book ever
Also poor dad rich dad
 

Kalume Kenge alikataa kwenda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…