Kitabu hiki ni cha Hafidh Kido ni johari

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
KITABU HIKI NI ''MASTERPIECE'' JOHARI - ''KANZU YA UKUBWA'' RIWAYA ALIYOANDIKA HAFIDH KIDO

Kitabu hiki ni kitabu mihumu sana katika uandishi wa lugha ya Kiswahili.

Maisha yangu toka udogoni ni maisha ya kusoma na kuandika na wala usidhani najipigia zumari langu mwenyewe.

Hii ndiyo hidaya sina wasiwasi Allah amenipa ili niwashinde wengine.

Napokea vitabu kutoka kwa vijana waandishi wanaonyanyukia lakini hiki cha Hafidh kipo katika duru nyingine kabisa.

Kwanza lazima nikiri kuwa sijakimaliza wala sijafika mbali lakini siku njema unaiona asubuhi.

Sasa kwa nini basi nimeharakisha kukiweka hadharani?

Nimefanya hivi kwa kuogopa choyo na kukataa kufaidi peke yangu lakini kubwa ni kutaka wataalamu wa lugha ya Kiswahili wakisome haraka na waone maudhui yaliyoma ndani ya kurasa za kitabu hiki na pia wasikie lahaja ya Kimtang'ata inavyosemwa.

Hakika Kiswahili ni hiki hiki lakini utakapokisoma utahisi kama vile ndiyo unaisikia lugha ya Kiswahili kwa mara ya kwanza.

Sitaki kabisa kuingia kwenye visa na mikasa wala maskhara ya baraza la bao manguli kijijini Tanga pembeni ya Bahari ya Hindi wanapokabiliana na kutupiana kete za bao na utani wa mshindi kwa mshindwa anaponyanyuka kichwa chini baada ya safari yote ya kutakata na kulala kisha akaambiwa na bingwa asibaki jamvini aende kwa Mama Mwanabakari akamsaidie kuosha vyombo.

Wala sitaki kuingia huko zaidi maana nitamtolea msomaji raha.

Sitaki kabisa kuingia kwenye visa na mikasa wala maskhara ya baraza la bao manguli kijijini Tanga pembeni ya Bahari ya Hindi.

Nataka ushuhudie mwenyewe kitabu kipo mkononi kwameo unasoma vituko vya wacheza bao wanapokabiliana na kutupiana kete za bao.

Nataka uusike utani wa mshindi kwa mshindwa anaponyanyuka kichwa chini kakiinamisha baada ya safari yote ya kutakata na kulala kisha akaambiwa na bingwa baada ya kufungwa kuwa asibaki jamvini aende kwa Mama Mwanabakari akamsaidie kuosha vyombo.

Si rahisi leo kukuta kitabu chenye utamaduni halisi wa wenyeji.

Hafidh katufanyia hisani kubwa pasi na kiasi.

In Shaa Allah nitarejea kuhusu kitabu hiki kwani pitio moja la haraka haraka halitoshi.
20201118_132504.jpg
20201110_175117.jpg
 
In Shaa Allah nitarejea kuhusu kitabu hiki kwani pitio moja la haraka haraka halitoshi.View attachment 1629126View attachment 1629127
Mwalim
Samahani
ni wapi kinapatikana kwa sie wa Dar?!
 
Hongera Shekhe Mohammed. Leo kwa mara ya kwanza umepigia debe kitu ukiwa neutral na kwa kujenga hoja. Naamini ntakitafuta nipate kujisomea
 
Back
Top Bottom