SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
wakuu,
Naomba niwaombe Watanzania tuwekeze katika kitabu kiitwacho IT ONLY TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE kwa kukisoma ipasavyo pamoja na familia zetu na kuyafanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo katika kitabu hicho. lazima tutaona mabadiliko makubwa na ya kudumu katika maisha yetu na familia zetu.