SolarPower
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 223
- 27
wakuu,
Naomba niwaombe Watanzania tuwekeze katika kitabu kiitwacho IT TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE kwa kukisoma ipasavyo pamoja na familia zetu na kuyafanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo katika kitabu hicho. lazima tutaona mabadiliko katika maisha yetu na familia zetu.
Weken soft copy hapa banaaa
ngoja tukitafute mkuu... THANKS FOR SHARING...this is a very ince POSITIVE ATTITUDE