Tumia email osanjelus@yahoo.com,Ni simulizi ya msichana Dollo aliyingizwa kwenye uchawi na mama yake. Anasimulia Siri nzito za huko na aliyokutana nayo. Kwa sasa kinapatikana kwa sh. 10,000 tu. Unaweza kuletewa ulipo kwa Dar. Mkoa kitatumwa kwa basi.View attachment 1305383
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuHii riwaya ya miaka ya 2000 na kama nakumbuka vizuri ilikuwa ina part 2. Ni story nzuri pia
Ndio hiyo
Kipo tena sokoniMara ya kwanza kusoma ilikuwa mwaka 2004 ,kiliniogopesha saana nilipata tabu saana kulala na kutembeaa mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app