Kitabu: "The Lost Books of the Bible and the Forgotten Books of Eden (1926)"

Kitabu: "The Lost Books of the Bible and the Forgotten Books of Eden (1926)"

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
1,061
Reaction score
2,477
Nafikiri wengi wenu mnajua mfalme Constantine na kanisa Katoliki hawakuweka almost vitabu 14 wakati wana assemble Biblia, hii imetunyima mengi kujua kuhusu kwa mfano the book of Enoch, the book of Og lile jitu refu kabisa.

Cha kusikitisha ni kwamba wakati sisi hizo knowledge hatuna wao kwenye library ya Vatican wanazo zile original copies kabisa, inakera sana, sasa na share na wewe PDF ya hiki kitabu cha mwaka 1926 na ni collection ya tafsiri za vitabu hivyo*the lost ones) zilizofanywa kwa Kiingereza katika karne za 17 na 18.
 

Attachments

Nafikiri wengi wenu mnajua mfalme constantine na kanisa katoliki hawakuweka almost vitabu 14 wakati wana assemble biblia,hii imetunyima mengi kujua kuhusu kwa mfano the book of Enoch, the book of Og lile jitu refu kabisa

Cha kusikitisha ni kwamba wakati sisi hizo knowledge hatuna wao kwenye library ya vatican wanazo zile original copies kabisa,inakera sana..sasa na share na wewe pdf ya hiki kitabu cha mwaka 1926 na ni collection ya tafsiri za vitabu hivyo*the lost ones)zilizofanywa kwa kiingereza katika karne za 17 na 18

kwa enquiry karibu PM siyo mbaya tukipoozana hata na k vant ndogo**
Sio kila kitabu kilichoandikwa na nitume nk viliwekwa kwenye biblia la hasha... Viliwekwa vile ambavo vina mafundisho ya KiMungu zaidi.
Ungesoma historia ya Biblia wala usingeona kuwa ni ishu
 
Sio kila kitabu kilichoandikwa na nitume nk viliwekwa kwenye biblia la hasha... Viliwekwa vile ambavo vina mafundisho ya KiMungu zaidi.
Ungesoma historia ya Biblia wala usingeona kuwa ni ishu
Ilikuwaje sasa mitume hao hao waka cite book of enoch na jasher kwenye Yuda na Joshua respectively?
 
Back
Top Bottom