B BUNDLE Senior Member Joined Feb 9, 2013 Posts 140 Reaction score 34 Jun 25, 2013 #1 Hellow guys naomba maoni yenu kuhusu maneno "kitafunio " na kitafunwa" yanapotumika kumaanisha chochote kwa ajili ya breakfast asbh
Hellow guys naomba maoni yenu kuhusu maneno "kitafunio " na kitafunwa" yanapotumika kumaanisha chochote kwa ajili ya breakfast asbh
Kingmairo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 4,936 Reaction score 3,542 Jun 25, 2013 #2 Kama una maanisha mkate au kitu cha kwenda na chai, usahihi ni kitafunwa!
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,044 Jun 25, 2013 #3 Hellow guys........ Bla bla bla..... Breakfast asbh....! Kwa mtindo huu hutokaa ujuwe kwa ufasaha lugha yoyote kati ya hizo mbili ulizotumia.
Hellow guys........ Bla bla bla..... Breakfast asbh....! Kwa mtindo huu hutokaa ujuwe kwa ufasaha lugha yoyote kati ya hizo mbili ulizotumia.
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,761 Jun 25, 2013 #4 Kitafunio=meno kitafunwa=andazi hebu kama mnaishi na watu jaribuni kuuliaz hivi ni vitu vya primari kabisa
Kitafunio=meno kitafunwa=andazi hebu kama mnaishi na watu jaribuni kuuliaz hivi ni vitu vya primari kabisa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jun 29, 2013 #5 Hahahaaaaa; kitafunio mtarimbo kitafunwa K