Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,006
Ingekuwa mazingira ni TAMBARARE (bila polisi na tume kuingilia mchakato), upinzani wangepata viti vingi. Lakini huu utaratibu wa kutekana, kupokonyana fomu mchana na kufuatana usiku haijakaa sawa kabisa, inajenga mazingira ya hofu kwa wapinzani. Lakini yana mwisho yote hayaCdm kipo katika wakati mgumu sana. Je kitaweza kupata wabunge na madiwani wengi kama uchaguzi uliopita?. Wakishindwa hawa jamaa watafarakana haijapata kutokea.
Mkuu unaamini maneno ya mitandaoni?. Mimi naona ni kiki tu.Ingekuwa mazingira ni TAMBARARE (bila polisi na tume kuingilia mchakato), upinzani wangepata viti vingi. Lakini huu utaratibu wa kutekana, kupokonyana fomu mchana na kufuatana usiku haijakaa sawa kabisa, inajenga mazingira ya hofu kwa wapinzani. Lakini yana mwisho yote haya
Wagombea wengi wa chadema wana utoto sana sana, ndio maana kuna muda naona bora magu anavyowaminya.
Na kwa utoto wanaoonyesha naiomba serikali ifanye juu chini iwaengue au wasishinde kwenye uchaguzi.
Umenena vemaCdm kipo katika wakati mgumu sana. Je kitaweza kupata wabunge na madiwani wengi kama uchaguzi uliopita?. Wakishindwa hawa jamaa watafarakana haijapata kutokea.
Mkuu, haki halisi ni ya wewe kumchagua uliyemuita magu. Kuwaengua kwa uonevu si jambo zuri hata kama CCM yenyewe inafanyia wagombea kuanzia rais mpk diwani. Mimi nisiyekuwa mwanachama wa chama cha siasa - ninatakiwa kupewa machaguo.
Mtu hawezi kuchagua kutoka kwa kitu kimoja.
Huko ukara wameonesha njia baada ya kula kichwa cha mmoja wa watekaje!Hii iendelee kote ambako kuna watu wanajaribu kuteka wagombea,ni kunyofoa vichwa tu!
Nyie mliovuka boda kufata malisho ya mifugo nchini mwetu ndio mmetuletea hizi roho ya umwagaji damu hazikuwepo kabla kila uchaguzi ukiakaribiaWe jamaa ushachinja wangapi? Au ndo umecomment ukiwa unajichokonoa makalio..? Acheni mbwembwe za kubweka huku, njooni uraiani kwenye maisha halisi, na myafanye haya mnayoyanadi huku.
Huyu Wakudadavuwa mwenyewe ndio wapanuliwa huko Lumumba kabla ya kupewa uteuzi.Kuwatuhumu chadema utoto na kwenyewe ni utoto.vipi yule anaemuuliza mwananchi wake wa kike kuwa anataka kupanuliwa
Mkuu basi huwajui hao maccm walivyo! Ni mazwazwa hakuna mfano. Swali kama hilo angechekelea mpaka jino LA mwishoUngesijisiaje mama yako ndio anaulizwa na jiwe kama anataka kupanuliwa ungeleta huo unyani wako humu
Roho chafu Ni ya mzazi wako wa kike, sio yangu..!Nyie mliovuka boda kufata malisho ya mifugo nchini mwetu ndio mmetuletea hizi roho ya umwagaji damu hazikuwepo kabla kila uchaguzi ukiakaribia
Wakudadavua ni miongoni mwa wanaCCM vilaza usiotakiwa kuwasiliza. Labda John kidogo anajua nini anafanya. Mtu kauawa akijaribu kupora fomu lakini Kwa vile yeye kajaliwa K kubwa anajifanya haoni upuuzi unaofanywa na wana ccm wenzake.Huo ndio utoto unaozungumzwa hapo, hakuna chochote kilichotokea ukara.