kwakwel nimejivua mama, jamaa ni nomaSikushauri hapooo hapana aisee
Aibu tungeona sisi ujue hapo sio ila tumosa tupo nae makapuku sema amekuwa adimu sana
Kweli mpenzi wanapotea sana
Ha!Ilibaki kiduchu muosha rungu awe shemeji yenu, ila leo kwenye enterview yake kanikata maini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Nina historia ya kuwa Na mpenzi si.st.e.r sasa sijui unasemaje!Acha hiyo na hao dada zetu waliokula nadhiri, ina maana wana matatizo hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nasikia ulifichwa Na jimama la kinyamwezi kama hivi
Ndo maana ulipotea[emoji23] [emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
AseehMkuu papuch ina extra power!!
DJ sepetu