Elections 2010 Kitakachotokea kabla ya 31 oct

hiyo sheria ya wapi ina maana mtu akiumwa uchaguzi haufanyiki?
 
Kama ni Usultani lolote linawezekana lakini kama ni uraisi kwa misingi ya kidemokrasia kuhailisha uchanguzi halipo,ila ikitokea kwa misingi hiyo ya kununua muda ili wajipange vizuri kikampeini,hiyo ni hatari,na ni gharama kwa Watanzania.Lakini kwa Afrika yetu ya Mzee Mugabe na chaguzi za Zimbabwe hilo linawezekana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…