Elections 2010 Kitakachowaangusha CHADEMA

Mukuru

Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
40
Reaction score
0
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.
 
Umefanya utafiti wapi na kuja na jumuisho hilo?
 
Kijana ile ni kombati bwana labda kipofu ndo atakuwa na mtazamo wako.
Ni sawa na mtu anaesema kuwa washabiki wa Simba hawataipigia kura CCM bse rangi zake ni za yanga
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

:llama::llama::llama::llama::llama::llama:
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.
 
haya najua shida yako ilikuwa ni kutoa post tu(thread) ili angalau watu wajibu...tumejibu sasa na thanx nimekupa ili walau na wewe upate japo thanx manake naona ulikuwa na 0 pale..ila next time make sure uwe na logic kwenye post yako!
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.
:A S-confused1:
1.Hiki ni kichaa
2.Kuongez\a idadi ya mabandiko!
3.Utoto
4.Kukosa fikra
5.Uchonganishi
6.Hopelessness!
7.Malezi mabaya
8.Ufukunyuzi!
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

Mgambo ana kofia na kirungu kama huyu...

Na huyu....

Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

Fidel Castro anavaaje?

Kiongozi wa Pyong Yang anavaaje?

Tatizo wabongo mlishakaririshwa amani yenu ya kijinga ambayo inafanya muyaone hata mambo ya kawaida kuwa si ya kawaida.
 
Hayo magwanda ya CHADEMA ni safi sana. Yanawapa utambulisho wa kipekee, na wanaonekana ni watu wa kazi, na watu wa kawaida.
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

kwani rangi ya nguoo inahusiana nini na kura za wananchi,kinachomata ni sera sio mavazi
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

Tatizo langu mimi ni wale mabaunsa wanaovaa makoti na mawani kama majambazi wakati wote tunajua hawana silaha wanazozificha. Wanaposema Dr Slaa anapaswa kuonekana Presidential, his security detail nayo inahusika.........

CHADEMA ondoeni hao wasanii ama wavisheni nguo za kistaarabu.......
 
Niko na ilo shati huwa nikilipiga najisikia raha sana na confidence inaongezeka
 
Hii tabia ya viongozi wa CHADEMA kuvaa kama mgambo itawapunguzia kura....kwa mwananchi wa kawaida .... mgambo ni alama ya unyanyasaji kutokana na wanavyotumika ingawa lengo la kuanzisha mgambo lilikuwa zuri.

Mahudhurio ya watanzania kwenye mikutano ya mgombea Uraisi wa Chadema mbona yanabeza maoni yako haya......Fikiria ndugu yangu kabla hujamwaga upupu kwenye jamvi....................................
 
Huo ni mtazamo wako,mimi naona hakuna tatizo kwenye hilo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…