Kitambi au kutofanya colon cleansing for men ni hatari kubwa kwa mapenzi

Au kunywa hata Shubiri inatosha kabisa kufanya hiyo kazi ya colon cleanser
 
hahahahaha, you r funny, so ur peno goes perpendicular to the gravity? hahaha good one...someone told me his goes 15 degree with the vertical (body axis)!!. I agree 'mwanaume shughuri mkuu'

u got it
 
jamni kitambi noma bwana asikwambie mtu, ila hata wanawake hasas Arusha na Moshi wanavitambi balaa cjui nao wanaathirika katika gemeu hebu tuelezeni kidogo hapa

Tatizo la wamama hawa wanakula mtori wa nyama na utumbo kila wakati, haipiti siku 2 au 3, wenywe mtori wa nyama, hapo hapo anaongezea uji wa ulezi na blue band, maziwa, nk utafikiri yy ni mzazi kila siku, sasa mwili
unafutuka, they become fat every where
 
Mazoezi ni muhimu sana kwa ajiri ya kuondoa kitambi. mimi nawahi uwanjani kukimbia baadae gym kutengeneza sehemu ya kulalia watoto wazuri, lol
 
haya ndo nilijiungia forum hii sio mara mrema mara mbowe kikwete muungwana waaapi
 
Kweli Shananature mtu hana data haya ni kama mambo ya mganga wa kienyeji mara mkuyati mara nini mara kile!. Give us source mwuungwana!
 
Dah kuharisha tena? je hii colon cleansing ndio Enema?


Je hii imekaaje?

Colon cleansing

Colon cleansing (also known as colon therapy) encompasses a number of alternative medical therapies intended to remove feces and nonspecific toxins from the colon and intestinal tract. Colon cleansing may take the form of colon hydrotherapy (also called a colonic or colonic irrigation) or oral cleansing regimens such as dietary supplements. During the 2000s internet marketing and infomercials of colon supplements increased.[1]

Some forms of colon hydrotherapy use enemas to inject water, sometimes mixed with herbs or with other liquids, into the colon via the rectum using special equipment. Oral cleaning regimes use dietary fiber, herbs, dietary supplements, or laxatives. Practitioners believe that accumulations of putrefied feces line the walls of the large intestine and that these accumulations harbor parasites or pathogenic gut flora, causing nonspecific symptoms and general ill-health. This "auto-intoxication" hypothesis is based on medical beliefs of the Ancient Egyptians and Greeks and was discredited in the early 20th century.[2][3]

No scientific evidence supports the alleged benefits of colon cleansing.[3] The bowel itself is not dirty and barring drugs, disease or mechanical blockage, cleans itself naturally without assistance.[4] Certain enema preparations have been associated with heart attacks and electrolyte imbalances, and improperly prepared or used equipment can cause infection or damage to the bowel. Frequent colon cleansing can lead to dependence on enemas to defecate and some herbs may reduce the effectiveness of prescription drugs.[5]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…