Kitambi kinaanzia umri gani?

Utakapoliona jina lako kwenye kitabu Cha urithi Cha babako
 
Kitambi ni heshima hasa unapoenda ukweni,
tena ukiwa na simu ya kupangusa...
Unachomoa simu ya kupangusa unapangusa kwenye kitambi.
Sasa kama huna kitambi utapangusia wapi?
 
Kitambi hakiashirii kuridhika
Bill gates?
Mo dewji?
Manji?
GSM?
Hao wote hawajaridhika?
Ubaya wa kuwa na biashara kubwa hata upate vipi pesa huwezi kuridhika fuatilia hilo, ukijaaliwa Milioni moja utatamani upate milioni tano zaidi, ukijaaliwa bilioni kumi utatamani upate bilioni ishirini na tano zaidi. Angalia sisi pangu pakavu ukipata 2000 tu tayari umeridhika na maisha yanaendelea!! Fatilia hilo!! [emoji1474]
 
Reactions: BRN
Nina uhakika kwa jinsi nilivyo slim asee sitakipata mpaka pale umauti utakaponipata
 
Kuna vitambi vya kiporo cja wali maharagwe hichi huwa kinakuja huku ukiwq na hali ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…