kilungula Member Joined May 6, 2014 Posts 23 Reaction score 5 Aug 15, 2017 #1 Wakuu kitambi changu kinanisumbua, ikizingatiwa mimi ni mwanamama. Nguo hazikai vizuri. Naomba mnisaidie "Diet" na mpangilio wa chakula kuanzia chai, lunch na dinner.
Wakuu kitambi changu kinanisumbua, ikizingatiwa mimi ni mwanamama. Nguo hazikai vizuri. Naomba mnisaidie "Diet" na mpangilio wa chakula kuanzia chai, lunch na dinner.