Ndugu miaka yote hio hujapata tuMm nataka nipate kitambi mwaka huu
Mm ni mtu wa mazoezi sn...ukifungua app ya pacer kwny simu yangu utashangaa hizo km nazokimbia kila ckuNdugu miaka yote hio hujapata tu
Kama una hela haina shida
Kho kho khoo....Daaa mkuu hapo sijui tufanyaje hapo me nadhan upige push up sana za kikubwa
Nifanyeje jamani kukifukuza hiki kitambi kinachonijia kabla ya wakati, yaani nna miaka 30 tu Nianze kusumbuka na kitambi wakati sijapata hata hela?
Mkuu tupo wengi kumbeNifanyeje jamani kukifukuza hiki kitambi kinachonijia kabla ya wakati, yaani nna miaka 30 tu Nianze kusumbuka na kitambi wakati sijapata hata hela?