XaviMessIniesta
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 2,231
- 2,778
Fanya Intermittent Fasting tu, kipe mwezi kinaondokaMkuu hata Mimi kimeanza na mazoez nafanyakivivu sana km upo kinondon tukutane tupeane kampan ya zoez maana yanatia uvivu
Hizo push ups za kikubwa zipoje sasa ???.Daaa mkuu hapo sijui tufanyaje hapo me nadhan upige push up sana za kikubwa
Hii nimeipenda.Dawa ya kitambi ni kuwa na Madeni tu
Kweli mazoezi yanatia uvivu, nilifanya sikumoja lile zoezi la kukata tumbo maumivu yake wiki nzima sijarudia tenaMkuu hata Mimi kimeanza na mazoez nafanyakivivu sana km upo kinondon tukutane tupeane kampan ya zoez maana yanatia uvivu
Kunywa sana MAJI yenye NDIMU,kisha uwe na madeni, au nunua GARI chakavu LA kushinda garage kila siku utakuwa flat huna haja ya dietNifanyeje jamani kukifukuza hiki kitambi kinachonijia kabla ya wakati, yaani nina miaka 30 tu nianze kusumbuka na kitambi wakati sijapata hata hela?
Mkuu pushap za kikubwa ndo za vipi hizo?Daaa mkuu hapo sijui tufanyaje hapo me nadhan upige push up sana za kikubwa
Lemutuz angalia vizuriOut of topic Hiyo pic kwenye avatar ni nani..?