Sema kama unacho usiogope...Hahaaa kipipa ,hapana mkuu bado sijaanza kukimiliki[emoji3]
Hapana simfikii huyooo, ila Kama kuna dawa au jinsi ya kukiondoa,tusaidie mkuuSema kama unacho usiogope...
Hebu nitumie picha nione ukubwa wakeHapana simfikii huyooo, ila Kama kuna dawa au jinsi ya kukiondoa,tusaidie mkuu
[emoji23] [emoji23]Na hapo hilo tumbo limepigwa jeki na tight akishavua kila kitu linaanguka linaziba kipapa ukitaka kula mzigo mpk ulipige jeki
Picha ya kitambi ?, we tusaidie tu wenye navyo jaman ebu fanya kuimagine kipo kama cha huyo DadaHebu nitumie picha nione ukubwa wake
Punguza kula kitimoto ww[emoji23] [emoji23]
Punguza kula...kila kitu unakula huchagui,tumbo linakuwa kama gari ya taka haliachi kituPicha ya kitambi ?, we tusaidie tu wenye navyo jaman ebu fanya kuimagine kipo kama cha huyo Dada
Inaelekea una experience ya kupiga dekiNa hapo hilo tumbo limepigwa jeki na tight akishavua kila kitu linaanguka linaziba kipapa ukitaka kula mzigo mpk ulipige jeki
Sana...ww hupendi kupigwa deki?!Inaelekea una experience ya kupiga deki
Tumekupata mkuu,tutazingatia ushauriPunguza kula...kila kitu unakula huchagui,tumbo linakuwa kama gari ya taka haliachi kitu
Akijibu nitag Nokia83:Naww una kipipa?
Aaaah mkuu sema ukweli [emoji3] [emoji3]Hahaaa kipipa ,hapana mkuu bado sijaanza kukimiliki[emoji3]
Mkazie hivyo hivyo mpaka akubari [emoji23] [emoji23]Sema kama unacho usiogope...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapana simfikii huyooo, ila Kama kuna dawa au jinsi ya kukiondoa,tusaidie mkuu
Pia inachangia sana tu mkuu!Chips
Punguzeni Nyama choma bia, chipsi mayai ya kizungu na...Kwa hiyo mnataka wenye vitambi tufanyeje? Tutafutiwe nchi yetu? Msitutenge wandugu[emoji124] [emoji124]
Hivyo hivyo kama wana mimba ya watotoPicha ya kitambi ?, we tusaidie tu wenye navyo jaman ebu fanya kuimagine kipo kama cha huyo Dada