Kitambi kwa mwanamke

Kitambi kwa mwanamke

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hi all

Mie ni mwanamke, ninawezaje kupunguza kitambi (tumbo kubwa) bila kufanya mazoezi?

Labda kwa kula vyakula n.k

Asanteni
 
Kama unatumia mojawapo ya njia za uzazi wa mpango acha mara moja, kula chakula asilia visivyo na mafuta mengi na kama mazoezi ya kiwanjani huwezi/hutaki fanya ya ndani, acha pombe na badala yake kunywa maji ya kutosha.

Ila mimi sio doctor by professional.
 
Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango, pombe nakunywa mara moja kwa mwezi au mara mbili. Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe.
 
Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango, pombe nakunywa mara moja kwa mwezi au mara mbili. Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe.

Unakunywa pombe gani kama sio local beer. Fanya mazoezi ya kutosha kuanzia yale ya ndani kabisa kama umeolewa/una mume nk na kunywa maji ya kutosha, angalia aina ya vyakula unavyokula na kiwango chake (both quality & quantity) na pia wa consult madaktari.
 
"Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe" Wabongo hamuishiwi mbwembwe!Inamaana wewe unatumia bia za inchi gani ambazo ni tofauti na za local/Bongo?
Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango, pombe nakunywa mara moja kwa mwezi au mara mbili. Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe.
 
Hi all
Mie ni mwanamke, ninawezaje kupunguza kitambi (tumbo kubwa) bila kufanya mazoezi?
Labda kwa kula vyakula n.k
Asanteni
penda kufanya mapenzi mara kwa mara angalau mara 2 per day usiku na uamkapo
 
Unakunywa pombe gani kama sio local beer. Fanya mazoezi ya kutosha kuanzia yale ya ndani kabisa kama umeolewa/una mume nk na kunywa maji ya kutosha, angalia aina ya vyakula unavyokula na kiwango chake (both quality & quantity) na pia wa consult madaktari.

Asante kwa ushauri ndugu Lyagwa. huwa sipindelei local beeer e.i. za TBL na EABL. Natumia savannah, heinken, n.k. Je hizi nazo zinaongeza ingawa natumia mara moja mbili kwa mwezi?
 
Last edited by a moderator:
Mh. Sasa kila siku si mpaka uwe na mume? Mie singo sijaolewa na ninafanya mapenzi mara moja au mbili kwa mwezi.

Hujaolewa na huna mpenzi sasa unawezaje kubokolewa mara mbili kwa mwezi au unachukua machangukaka ? Wapo mjini hapa au unajianika maeneo wakuzoe
 
Hujaolewa na huna mpenzi sasa unawezaje kubokolewa mara mbili kwa mwezi au unachukua machangukaka ? Wapo mjini hapa au unajianika maeneo wakuzoe

Kwanza naomba uelewe maana ya neno "Single" ndipo uniulize swali. Pia soma topic yangu kwa makini je mie ni Me au Ke? Usikurupuke.
 
Nikikushughulikia mara moja tu kwa njia rahisi tu, ndani ya wiki moja utaleta ushahidi hapa JF kuwa umepungua.
We ni-pm tu uonje TIBA!
 
Mtu kaomba ushauri badala ya kumsaidia unaanza kumwambia afanye mapenzi. Huo sio ushauri na kama kwako ni ushauri basi ndo akili yako ya kijinga ilipofikia upeo........... Dada yangu dawa ambayo inaweza kukusaidia kupunguza kitambi bila kufanya mazoezi ni: 1. Punguza kula mlo mkubwa yaani kula kidogo halafu kwa mpangilio-breakfast kidogo, lunch kidogo na dinner kidogo. Ila usiache kabisa kula kwani utaumwa vidonda vya tumbo....2 Kunywa maziwa mgando glass moja kila baada ya lunch na diner. Maziwa mgando au mtindi yanayeyusha mafuta mwilini. Ukizingatia hayo baada ya miezi 2 kitambi kwisha.
 
Back
Top Bottom