Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Acha pombe
Kama unatumia mojawapo ya njia za uzazi wa mpango acha mara moja, kula chakula asilia visivyo na mafuta mengi na kama mazoezi ya kiwanjani huwezi/hutaki fanya ya ndani, acha pombe na badala yake kunywa maji ya kutosha.
Ila mimi sio doctor by professional.
Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango, pombe nakunywa mara moja kwa mwezi au mara mbili. Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe.
Situmii njia yoyote ya uzazi wa mpango, pombe nakunywa mara moja kwa mwezi au mara mbili. Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe.
penda kufanya mapenzi mara kwa mara angalau mara 2 per day usiku na uamkapoHi all
Mie ni mwanamke, ninawezaje kupunguza kitambi (tumbo kubwa) bila kufanya mazoezi?
Labda kwa kula vyakula n.k
Asanteni
Unakunywa pombe gani kama sio local beer. Fanya mazoezi ya kutosha kuanzia yale ya ndani kabisa kama umeolewa/una mume nk na kunywa maji ya kutosha, angalia aina ya vyakula unavyokula na kiwango chake (both quality & quantity) na pia wa consult madaktari.
"Pia situmii local beer iwapo nitakunywa pombe" Wabongo hamuishiwi mbwembwe!Inamaana wewe unatumia bia za inchi gani ambazo ni tofauti na za local/Bongo?
penda kufanya mapenzi mara kwa mara angalau mara 2 per day usiku na uamkapo
Mh. Sasa kila siku si mpaka uwe na mume? Mie singo sijaolewa na ninafanya mapenzi mara moja au mbili kwa mwezi.
Hujaolewa na huna mpenzi sasa unawezaje kubokolewa mara mbili kwa mwezi au unachukua machangukaka ? Wapo mjini hapa au unajianika maeneo wakuzoe
Nikikushughulikia mara moja tu kwa njia rahisi tu, ndani ya wiki moja utaleta ushahidi hapa JF kuwa umepungua.
We ni-pm tu uonje TIBA!
Dah raha sana hii. Eti uko wapi hapa dar bibiye tutafutane tupeane ushauri nasaha.Mh. Sasa kila siku si mpaka uwe na mume? Mie singo sijaolewa na ninafanya mapenzi mara moja au mbili kwa mwezi.
Dah raha sana hii. Eti uko wapi hapa dar bibiye tutafutane tupeane ushauri nasaha.
Ni PM contacts zako basi tutakiane habari.Nipo Angaza AMREF