Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 735
Mwehu mwenyewe
ha haaaaa...............Wewe kitambi cha mtu kinakuhusu nini?
Mbona hauzungumzii makalio?
Au siyo sehemu za mwili?
Mxiiiew
Sio wote unaowahisi wana vitambi. Hala hala usije ukapotea[emoji4] [emoji4]Kupitia comment za Uzi huu nishawajua wenye vitambi[emoji13]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Slim girls kama kina nandy ndio wako smart? Skia bana Akili za mtu hazipimwi kwa umbo, urefu, n.k
Umesomeka vizuri kabisa. Kijijini ukimuona mwenye kitambi sio rahisi. Kijiji nilichokea mimi sijui kama kuna mwenye kitambi.Ingawa umetumia lugha isiyo na nidhamu ila imeongea ukweli kwa sehemu kubwa,kwa kifupi kitambi n uzembe na ratiba mbovu ya kula..ndio maana vijijin kukuta MTU ana kitambi sio sana maana shughuli za kilimo zinasaidia kuchoma all unnecessary fats