Kitambi ni ugonjwa wa akili

sio kweli!!!Na ninapingana nawe!Mie kwa kweli uniache tu na Ndambi yangu maana nimetoka mbaliii,enzi za Kuvaa kiuno suruali saizi 32 mpaka 40!Niache tuuu maaana kitambi ni moja ya maendeleo
 
Wenye vitambi wamekuwa wakali hao, ukichanganya na hali ya uchumi ilivyo maana kupata kitambi sio issue bali matunzo ya kitambi ndio noma 😀😀😀😀
 

Ipo hivi, eating habit yako ndio inayoweza kudetermine nature ya mwili wako. On my side sipo upande wa wanaokula sana. lakini ukweli ni kwamba nature ya chakula ambacho mtu anakula kila siku matters a lot in determination of body size yake. Watu wengi sana hawajui jinsi ya kupangilia vyakula. Kwa mfano, vyakula vyenye mafuta mengi vinahitajika kidogo sana katika mwili wa binadamu. Lakini watu wengi ndio wamevigeuza kama vyakula vyao vya kula kila siku. Je unategemea ni nini kiwapate?
 
Yataka moyo kufanya mazoez hapa tu kitambi kimeanza demu wangu analalamika nimekuwa na kitambi daaa ntajitahid zoez kwakwel bora kukubali kuliko kumkasirikia mtoa mada maana kakumbusha ukiwa na kitambi ww mwenyewe unakuwa hujipendi

Fikiria sana vyakula unavyokula... unaweza ukafanya mazoezi na hicho kitambi kisitoke
 

Your conclusion tells all....lengo la kutukana kwako kote ni kulenga kwenye uzinzi. Ulipaswa kupost hiki kwenye jukwaa la ngono (wakubwa) au la mapenzi. Wazinzi wenzako wangekushauri.
 
Wenye vitambi wanalea nyama za kupeleka wapi?

Huku tunaamini ng'ombe hupelekwa Buchani.
 
Msinishambulie jamani ila nilisikia kuna tetesi kuwa WHO itatangaza kitambi kuwa ni kilema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…