Kitambi: Ugonjwa pekee wenye heshima katika jamii za kiafrika

Nchi gani hizo mkuu?...Japan na China usiziweke kwenye mfano wako lakini!!..
 
mwenzangu nilimpigisha diet mama yake akasema namnyanyasia mwanae anakonda hakuwa hivyo.............. na mi nikamwambia uamue mama yako au mimi japo bado kaugonjwa kapo lakini anaenda vizuri
 
Ninavyohangaika kukitoa kitambi,laiti ningekuwa na uwezo,ningewatandika risasi wote wanaotudhihaki eti tunakula ovyo!Kuna watu wanakula ovyo mno naishi nao,lakini ni vimbau na hawana hata dalili ya unene.Kumbukeni kuna watu tumeumbwa hivyo na miili mikubwa hata ujinyime vipi!
 

Lakini heshima unayo kaka.Au unapenda kuwa hivi?
 

Attachments

  • IMG_0638.jpg
    11.3 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…