Kitambo kimepita nafasi za kazi EWURA

Kitambo kimepita nafasi za kazi EWURA

MAUBIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,039
Reaction score
855
Habari wadau,

Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini
  1. Post Title: Technical Manager Electricity One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  2. Post Title: Principal Technical Engineer One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  3. Post Title: Senior Engineer -Renewable Energy One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  4. Post Title: Petroleum Inspector 2 Posts Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  5. Post Title: Commercial Officer - Petroleum 1 Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  6. Post Title: Receptionist Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam

Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Ewura huwa wanachukua muda kuita.. nakumbuka nlifanya application July mpaka Dec ndo wakatuita kwa interview
 
Habari wadau,

Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini

  1. Post Title: Technical Manager Electricity One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  2. Post Title: Principal Technical Engineer One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  3. Post Title: Senior Engineer -Renewable Energy One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  4. Post Title: Petroleum Inspector 2 Posts Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  5. Post Title: Commercial Officer - Petroleum 1 Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  6. Post Title: Receptionist Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam

Natanguliza shukrani zangu za dhati

Aisee hata mimi niliomba hizi nikajua wameshaita, tafadhali mwenye taarifa za uhakika atujuze.. Shukrani mdau kwa kukumbushia hii..
 
Mimi niliomba kazi July 2013, tukafanya interview November 2013, umeona, Mpaka sijui kama wameshamuita mhusika
 
Mimi niliomba kazi July 2013, tukafanya interview november 2013, umeona,,,Mpaka sijui kama wameshamuita mhusika

Kama ni ile ya customer care ilitofanyika Protea hotel.. tayari watu wapo kazini
 
Maubig je ile ya ICT Officer? Interview ilifanyikia New Africa Hotel una updates zozote?

Sifahamu chochote ndio maana najaribu kuulizia kwa wadau wenye taarifa
 
Jamani bado hao jamaa kwa nafasi tajwa na mdau hapo juu, kwa mwenye taarifa
 
Muda mwingine najiuliza wanatangaza nafasi za kazi za nini ilhali hawana mpango wa kuajiri wakati huo, kutupa presha tu watoto wa wakulima
 
Bado naomba updates za nafasi tajwa Hapo juu, pleaseeeeeeeeeeeeeeee wadau
 
Kazi imeshapatikana ya kutafuta kazi kwa ajili ya kupata kazi
 
Habari wadau,

Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato unaendelea. Nafasi hizo ni kama zinavyoonekana hapo chini

  1. Post Title: Technical Manager Electricity One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  2. Post Title: Principal Technical Engineer One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  3. Post Title: Senior Engineer -Renewable Energy One Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  4. Post Title: Petroleum Inspector 2 Posts Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  5. Post Title: Commercial Officer - Petroleum 1 Post Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam
  6. Post Title: Receptionist Duty Station: EWURA Head Office Dar es Salaam

Natanguliza shukrani zangu za dhati
Jamani juzi Nimepiga simu wamesema walishaita na watu wapo kazini, watu wanafanya kazi sasa, nilitafuta Ewura, then nikachukua namba zao ambazo hata wewe unaweza kuwapigia, ni land line, wakasema wameshafanya interview.
 
jAMANI HUZI Nimepiga simu wamesema walishaita na watu wapo kazini,watu wanafanya kazi sasa,nilitafuta ewura then nikachukua namba zao ambazo hata wewe unaweza kuwapigia, ni land line, wakasema wameshafanya interview.

Thanks mkuu kwa taarifa ndio ishakula kwetu watoto wa wakulima
 
Back
Top Bottom