*Kitambo Shuleni*
John ana miaka 10 pungufu ya baba yake, mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa:
1. John
2. Baba
3. Mama
```Hili swali nilikua naliruka... sio kwamba nilikua siliwezi, ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za watu```