Kitambo tukiwa wadogo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika

1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : sumaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule

2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: we sumaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama

3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: sumaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
H
[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mna mbwembwe
 
Hiyo ya 3 ni nomaa, Sir ilikuwa ukiitika tu unaambiwa "haya kaa huko huko"
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
haya, shauri ako...............
 
Ingekuwa siku ya chapati ungejifanya uko na usingizi ili upewe chapati ya kwanza uonje πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…