K Kelvin00 Member Joined Nov 3, 2016 Posts 62 Reaction score 19 Nov 8, 2016 #1 yeeee sasa tuone za enzi ziiile udogoni hebu taja filamu yako ya kwanza kuichek maishani mwako mi naanza na IT nilikua naiogopa kinomanoma hebu wewe taja yako na hisia zako hapa
yeeee sasa tuone za enzi ziiile udogoni hebu taja filamu yako ya kwanza kuichek maishani mwako mi naanza na IT nilikua naiogopa kinomanoma hebu wewe taja yako na hisia zako hapa
alsam JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 221 Reaction score 308 Nov 8, 2016 #2 Ngoja waje watoto wenzio watakujibu
K Kelvin00 Member Joined Nov 3, 2016 Posts 62 Reaction score 19 Nov 8, 2016 Thread starter #3 alsam said: Ngoja waje watoto wenzio watakujibu Click to expand... asante na we kwa kujibu wewe ni mtoto wa kwanza
alsam said: Ngoja waje watoto wenzio watakujibu Click to expand... asante na we kwa kujibu wewe ni mtoto wa kwanza