naombeni msaada wa kisheria jamani,nipo tanga nimeibiwa begi langu wakati nashuka toka kwenye gari,.mkoba wangu uliokuwa na kila kitu,yaani,kadi ya benki,kadi ya kura,kitambulisho cha kazini,na document zoote zimepotea.,nilicho fanikiwa kupata hapa ni kadi ya chama changu pendwa pinga unyonyaji kwa sababu kujiandikisha hakuna complication,.ni picha na taarifa zingine ambazo nimezitoa pale ofisini,sasa nataka kwenda benki kuchukulia hele CRDB,je nitafanikiwa?maana kadi hile ina picha na mihuli kamili na chama kinambuliwa kwa mujibu wa sheria.CHADEMA.