Kitambulisho cha Mzanzibari Kinapatikana vipi?

Kitambulisho cha Mzanzibari Kinapatikana vipi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mimi ni mtanganyika Ninaishi ugaibuni, na ninahitaji kujua namna ya kupata kitambulisho cha Mzanzibari Mara nitakaporejea Tanzania.

Je, mzanzibari nao wana vitambulisho vya NIDA? Je, Samia Suluhu Hassan ana kitambulisho cha NIDA na cha Mzanzibari? Je, ninaweza kuomba kazi zanzibar ilihali mimi ni Mtanganyika?
 
Majibu ni hapana...

Tanganyika ni ya wote... Zanzibar ni wa zanzibari peke yao...
 
Uwe kada wa ccm
Uvae kanzu
Swala tano muhimu
Ufahamiane na sheikh angalau wattatu
 
Nyieee [emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ni visiwa tunavijua na nchi yetu Tanzania tunaijua ukiwa kada hata sheria na taratibu zinaekwa kando, nchi inaongozwa kiccm tu, hatari sana
 
Back
Top Bottom