Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kwanza aende Polisi baada ya hapo Afike ofisi za nida
Hatua ya kwanza nenda polisi kapate loss reportHabari wakuu
Naomba kuuliza kama kitambulisho Cha taifa kimepotea,Kuna utaratibu Gani wa kukipata upya??
Sina mengi ya kusema, nawasilisha mada. Wenu mtiifu katika jamiiforum
Cassnzoba
Hapo umefanya jambo la maanaAisee kwa usumbufu wa namna ya kupata kitambulisho cha nida..nakitunza sana kisipotee mm ni mtu wa kusafiri safari sana.
Inanibidi ni tembee na soft copy ya kitambulisho kwenye simu.
Kama sina simu kubwa ntatembea na hardcopy yake ,na kama sina simu au hazina chaji imenifanya nikariri Nida namba.
Au mwambie umsaidie akupe hela