Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
Nadhani kuna watu watakubaliana na mimi kuwa vitambulisho vya taifa vya sasa vinafutika. Naomba kujua sululisho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LaminateNadhani kuna watu watakubaliana na mimi kuwa vitambulisho vya taifa vya sasa vinafutika. Naomba kujua sululisho!
Imenifikirisha sana inakuwaje NIDA inafutika. Ubora wa kitambulisho upo chini ya kiwango au? Wahusika wajitokeze watoe maelezo. Kuna mtu imebidi atengeneze copy stationary baada ya kitambulisho (NIDA) chake kufutika.Nadhani kuna watu watakubaliana na mimi kuwa vitambulisho vya taifa vya sasa vinafutika. Naomba kujua sululisho!
Vikitoka vilivyo bora wataibaje kwa mfano!! Hii nchi muda mwingine ni aibu kuwa mtumishi wa baadhi ya ofisi. Ukiwakuta maofisini,matumbo makubwa,wamechomekea mkanda nje,moka ya maana kama watu vile.Hii nchi Ajabu sana
Watu wamesubiria Vitambulisho Miaka 5 Vinatoka Vimeo