..KITAMBULISHO CHA UTAIFA

..KITAMBULISHO CHA UTAIFA

grysn

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
266
Reaction score
35
habari gani, wakuu.

naomba msaada , jinsi ya kupata kitambulisho cha utaifa... ..
 
......utaratibu upo, vip ili nipate kitambulisho hicho.
 
habari gani, wakuu.

naomba msaada , jinsi ya kupata kitambulisho cha utaifa... ..
Utatumiwa sms ya kukueleza ukifuate wapi, kuanzia lini hadi lini uwe umeenda. Na utatakiwa kwenda eidha na ile karatasi uliyopewa wakati unaandikishwa au kitambulisho cha kura, leseni ya udereva. Na utaweka vodole vyako kwenye kimashine..
 
Mie nimetumiwa sms nimeenda nikaambiwa kitambulisho bado ila wamekwisha kukiprint nikaambiwa niwape namba yangu ya simu kikiletwa pale watanipigia
 
....sms unatumiwa na nani.!?
 
hawa, Nida wana patkana kila mkoa, au mpaka Dar Es Salaam ..!?
 
Utatumiwa sms ya kukueleza ukifuate wapi, kuanzia lini hadi lini uwe umeenda. Na utatakiwa kwenda eidha na ile karatasi uliyopewa wakati unaandikishwa au kitambulisho cha kura, leseni ya udereva. Na utaweka vodole vyako kwenye kimashine..
Mkuu, utatumiwa msg na nani?
 
Back
Top Bottom