Utatumiwa sms ya kukueleza ukifuate wapi, kuanzia lini hadi lini uwe umeenda. Na utatakiwa kwenda eidha na ile karatasi uliyopewa wakati unaandikishwa au kitambulisho cha kura, leseni ya udereva. Na utaweka vodole vyako kwenye kimashine..habari gani, wakuu.
naomba msaada , jinsi ya kupata kitambulisho cha utaifa... ..
Nida wenyewe nimekwenda kituo cha goig Mbezi beach hakuna mpk Leo sijui wameona nitafaidi sana wameamua kukaa nacho....sms unatumiwa na nani.!?
OK ulaji mwingine huoSubiri vipya vilivyotoka vyote feki havina sign ya muhusika.
Mkuu, utatumiwa msg na nani?Utatumiwa sms ya kukueleza ukifuate wapi, kuanzia lini hadi lini uwe umeenda. Na utatakiwa kwenda eidha na ile karatasi uliyopewa wakati unaandikishwa au kitambulisho cha kura, leseni ya udereva. Na utaweka vodole vyako kwenye kimashine..
Na NIDA. Mi nilitumiwa toka kwenye namba hii 0782994279. Sasa kama ni ya ofisi au ya mtu ndani ya NIDA sina uhakikaMkuu, utatumiwa msg na nani?
Nakushukuru mkuuNa NIDA. Mi nilitumiwa toka kwenye namba hii 0782994279. Sasa kama ni ya ofisi au ya mtu ndani ya NIDA sina uhakika