Chukua 40k
Akigoma hiyo kuna 45k hapa.
Picha yenyewe ina ukungu. Hicho kitanda ni chako kweli?Kitanda futi 5 kwa futi 6 kinauzwa kipo mbagala sabasaba bei 120000 maongezi yapo.
0657623266
[emoji23][emoji23]Picha yenyewe ina ukungu. Hicho kitanda ni chako kweli?
Alafu kwanini unakiuza?