Nsemwas Junior
Senior Member
- Oct 23, 2009
- 173
- 56
Unremovable battery.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kina uvungu?
Humu mjini uvungu ni ficho la kwanza pale mambo yanapokuwa mabaya.
[emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume unajificha uvunguniKina uvungu?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu haya majibu unatoaga wapiUnremovable battery.
Hilo kama battery ya smartphone halitoki.
"anagugo"ππππ[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]mkuu haya majibu unatoaga wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
moja kati ya mbinu maridadi ambayo kila baharia huzaliwa nayoππππππKuna wakati hali inakulazimu mkuu sio kwa kupenda kwako.
Humu mjini uvungu ni ficho la kwanza pale mambo yanapokuwa mabaya.
Boss unauza kitanda na godoro lake kwa bei hiyo au?Nauza kitanda kizuri cha kisasa kimetumika ila bado kina hali nzuri sana. Size ni 5 kwa 6 na kipo Tegeta Kibo, DSM
Mawasiliano 0683-796778 - bei inapoa kidogo.View attachment 1419149