INAUZWA Kitanda cha 5 kwa 6 Na godoro lake vinauzwa

INAUZWA Kitanda cha 5 kwa 6 Na godoro lake vinauzwa

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
685fc0098e418803511a32b3300a688f.jpg


Bei 300000 vyote kwa pamoja
Vinapatikana Morogoro mjini maeneo ya kihonda mbuyuni.

Mteja wa haraka anahitajika

Mawasiliano 0763615586 au 0621058400
 
Awamu hii ikimuacha mtu salama ashukr sana MUNGU
 
Mbao gani hicho kitanda na godoro la kumpuni gani na nchi ngapi

Nyoosha maelezo kidogo
 
Vipi Mkuu? Unataka kuanza kulala kwenye mkeka?

685fc0098e418803511a32b3300a688f.jpg


Bei 300000 vyote kwa pamoja
Vinapatikana Morogoro mjini maeneo ya kihonda mbuyuni.

Mteja wa haraka anahitajika

Mawasiliano 0763615586 au 0621058400
 
Pole sana kwa kweli kila kona nchini watu wanalia kwa maisha magumu. Ukimpa mtu 10,000 utaombewa kwa sala zote za muhusika. Inasikitisha sana. Pole sana ila usikate tamaa na maisha.

Ndio maisha magumu
 
Hauna Bidhaa zingine za ndani unazouza!?
 
Back
Top Bottom