INAUZWA Kitanda cha chuma na Godoro lake la inch 8 vyote ni 5×6

dreamchaser94

Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
32
Reaction score
4
Wasiliana nami kama unahitaji Mali hizi kwa namba muda wowote....


or
WhatsApp 0652576717

1.Kitanda Full chuma + Godoro full nyama (inch 8)
Vyote Size ni 5×6
Tsh 390,000 vyote kwa pamoja, vinauzwa vyote kwa pamoja

2.Meza ya kioo ya kuweka kwa sebule yenye upana wake na quality ya uhakika kwa
Tsh. 170,000

Location:
Gongo la Mboto majoe kwa mtumbo- Dar wa salaam,Tz

#~lordcommander
 
Haya bana,
Kila la heri............
 
Kuna thread humu watu walikuwa wanauliza kama siku hizi bado watu wanaweka vitambaa juu ya meza na makochi...! Umewakilisha mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…