Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
kwa sababu sio sawa na vingine vilivyozoeleka ukikitaka kipya nenda mlimani city au show room posta na uandae million 1 au zaidimkuu why unakiita kitanda cha kifahari?
kitanda used cha kifahari full na godoro lake kinauzwa
kitanda kina spring
godoro lina spring full kunesa nesa
kitanda hiki ni cha kimataifa ( hakijatengenezwa Tanzania)
ni imara sana hakiharibiki
bei sh 450,000/=
serious buyer only
0789 795 139
kiko vizuri isipokua picha haikutoka vizuri kutokana na mwanga wa jua kupitia dirishaniMBONA KAMA KIMEUNGUA AU NDO UCHAKAVU
Sorry, kitanda ni 5 kwa 6 napatikana Dar ununioHujaweka details kwamba ni kitanda cha ukubwa wa 2*3 au 1*2, hujasema uko arusha , mwanza au dsm pia picha bado hazijaonekana vizuri
MIGUU KAMA KIKO KUNANG'INIA KAMA VIPI GODORO HILO ITAKUA POA KAMA BEI SIO YA KIFAHARIkiko vizuri isipokua picha haikutoka vizuri kutokana na mwanga wa jua kupitia dirishani
iyo ni ghorofa haijaisha kitanda kimehifadhiwa tu hapoUlishindwa kudeki hapo ?
hakipo dukani kipo kwenye ghorofa ambalo halijaisha sijui unataka kiendane kivipi kitanda full na godoro lake ndo vinauzwaUmekisifia saana
Mbona kiko sehemu hakiendani na hadhi yake kwa mujibu wa masifu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
kina madoa kidogo ambayo yanatoka lakini juu ni kitambaa kigumu godoro lipo kwa ndani halionekani na lina spring chuma very durable.Mbona godoro Kama limekojolewa vile Au macho yangu tu
miguu haijaonekana kwenye picha kutokana na udogo wa sehemu kilipohifadhiwa lakini in actual fact sio miguu ambayo ni fixed ni stand ya chuma ambayo inachomoka na unaweza kuikunja mara moja godoro peke yake nipe 225,000/=MIGUU KAMA KIKO KUNANG'INIA KAMA VIPI GODORO HILO ITAKUA POA KAMA BEI SIO YA KIFAHARI
πππππππππππππ