Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
- Thread starter
-
- #21
1. Hapo ni stoo iyo sio mada kitanda full ndo kinauzwa iyo ni ghorofa ambayo haijaisha1. Hapo ni stoo?
2. Ufahari na ukimataifa wake unaonekana wapi?
3. Picha zote 48 umepiga godoro, kitanda tutakiona kwa hicho kipande cha mbao tu?
mkuu turudi kwenye mada hicho kitanda hakiharibiki unatumia unakufa unakiacha
bila shaka mkuu unauliza mileage
Majibu mazuri sana, lkn si yenye kukusaidia kuuza hiyo YUNIK yako.1. Hapo ni stoo iyo sio mada kitanda full ndo kinauzwa iyo ni ghorofa ambayo haijaisha
2. ufahari wake ni kwamba hicho kitanda ni very unique
3. kitanda kipo hapo hapo ila inaonekana hujakielewa na wala hujawai kuona kitanda kama hicho wenzako wote wameona kitanda isipokuwa wewe tu
Business strategy...ni somo muhimu sana, basi tu watu wanalipuuza.Umekisifia saana
Mbona kiko sehemu hakiendani na hadhi yake kwa mujibu wa masifu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasiojulikana hao..kiko vizuri isipokua picha haikutoka vizuri kutokana na mwanga wa jua kupitia dirishani
Hali mbaya kiuchumiWatu mmevurugwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]