Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sanaaa!!Hakuna tendegu wala chaga kuvunjika View attachment 2194627
Nimekuelewa, huko mbele ubunifu unaweza kuboreshwa. Lakini ninahisi dhana ya huyu bwana ni kukomoa wezi.Hongera zake, wazo zuri sana,, finishing iwe maridadi tu na ange cast zege juu ya plastic carpet ili kihamishike katikati ana cast top ya zege iweze kutoka na kurudi, kitanda kizima iwe vipane 5 vya zege vyote kila kilmoja kina kitako chini kivito isipokuwa tu top