Kitanda cha kudumu

Ila ajiandae kununua magodoro Kila siku maybe atandike Chaga au kapeti
 
Hongera zake, wazo zuri sana,, finishing iwe maridadi tu na ange cast zege juu ya plastic carpet ili kihamishike katikati ana cast top ya zege iweze kutoka na kurudi, kitanda kizima iwe vipane 5 vya zege vyote kila kilmoja kina kitako chini kivito isipokuwa tu top
 
😍 kuna dada anajua nampenda ila anavunga tuu!
 
Kinatofauti gani na cha chuma hapo nyumbani. Kitanda kilikuwaga cha mneso
 
Nimekuelewa, huko mbele ubunifu unaweza kuboreshwa. Lakini ninahisi dhana ya huyu bwana ni kukomoa wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…