Kitanda cha kudumu

Durability na Costs,, kitanda cha mninga kizuri labda 8x8 ft unaweza kuta zaidi sh 750,000 to 1 mln
naamin ukipata fund mzr wa zege na form work hiki cha zege kitakuwa chini zaidi may be 300,000
Unachukua mpapai mkubwa unachonga muguu ya kutanda kama box, unaimwagia zege, likikauka umepata muguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…