Tenderness
Member
- Nov 28, 2015
- 29
- 18
Mkuu Asante kwa wazo lako, ila sasa sisi wengine kukopa tunaogopa masimango na kunyoosheana vidole Ndugu yangu.Duuuh! pole sana mkuu kwakukumbwa na shida hiyo inayopelekea kuuza kitanda kizuri hivyo tena kilichotengenezwa kwa mbao nzuri na imara kabisa.Ngoja waje wadau wakutatulie shida yako kwakukinunua,ila nakushauri ukope tu hiyo pesa kuliko kukiuza hicho kitanda.
100000Kitanda kipo quality.utakilalia miaka na miaka
9kWakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu
Size= 5 * 6
Ni cha mbao (Mninga)
Sababu za kuuza= Shida za duniaView attachment 744175 View attachment 744176 View attachment 744177
Bei 140,000/= Negotiable
Location; Mbezi Africana
Contacts; 0767819499
Umeshakiuza ndg?Wakuu, bidhaa tajwa inauzwa hapo juu
Size= 5 * 6
Ni cha mbao (Mninga)
Sababu za kuuza= Shida za duniaView attachment 744175 View attachment 744176 View attachment 744177
Bei 140,000/= Negotiable
Location; Mbezi Africana
Contacts; 0767819499
Picha tafadhaliNnacho kitanda Mimi nipo river side BEI laki Na sabini kipo bomba sanaaa