INAUZWA Kitanda, Godoro, Sabufa(SeaPeano) na feni vinauzwa Arusha Moshono

INAUZWA Kitanda, Godoro, Sabufa(SeaPeano) na feni vinauzwa Arusha Moshono

Kidawa_hiphop

Senior Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
184
Reaction score
274
Wanajf habari zenu bana??

Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo.

1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 320k

2.godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 170K

3.SeaPeano..tsh 95k

4.Feni..tsh 35k

Vitu ni vipya coz ndo nilikuwa naanza maisha Arusha lakini ndo hivyo naondoka.

Nipo moshono
 
Arusha Ni pa kiboya usishangae mteja akakwambia hivyo vyoooote ntakupa 250,000 halafu ukikataa anambonyeza mwingine anakuja anakwambia nna 200,000 bro unaona Bora uuze kwa hio 250,000 tu.Kuna upumbavu mwingi Sana Kule Bora uache vitu vioze tu.
 
Nahamia sehemu ambapo accomodation ipo..na itakuwa kwa miezi kadhaa kabla sijajua tena hatma yangu.
Ndo maana nimeona niviuze tu
Hahahahah yani umepata mchongo wa tempo unauza mali zako? 😀 Tena vitu vyenyewe vitatu tu. Si uvipeleke kwenu ukimaliza mishe utavichukua?
 
Hahahahah yani umepata mchongo wa tempo unauza mali zako? [emoji3] Tena vitu vyenyewe vitatu tu. Si uvipeleke kwenu ukimaliza mishe utavichukua?
Anataka mchongo ukiiasha aanze kununua tena kitanda na Godoro na sio aanzie alipoishia
 
Back
Top Bottom