Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
Laki nne mkuuHicho kitanda ulikununia kwa shilingi ngapi za Kitanzania mpaka ukiuze laki 3?
Basi akitokea mteja akapungukiwa kiasi kidogo cha hiyo laki 3, usimfukuze.Laki nne mkuu
Sawa mkuu..ushauri wako nitauzingatiaBasi akitokea mteja akapungukiwa kiasi kidogo cha hiyo laki 3, usimfukuze.
Nahamia sehemu ambapo accomodation ipo..na itakuwa kwa miezi kadhaa kabla sijajua tena hatma yangu.Kwa nini msela anauza na wakati maisha ndo alikuwa anayaanza
Poa mkuu hapo sawa maana kitanda muhimu sana kwa ajili ya kuwagegedea hawa warembo nikasema mwamba anakiuzaje tenaNahamia sehemu ambapo accomodation ipo..na itakuwa kwa miezi kadhaa kabla sijajua tena hatma yangu.
Ndo maana nimeona niviuze tu
Kesho kutwa mkuuWatu wana ukata kinoma noma wewe unategemea kuondoka lini hapo....
nana_ ujeWanajf habari zenu bana??
Nimepata dharura naondoka mkoa huu nilipo(Arusha) na nauza vitu vifuatavyo.
1.Kitanda 5 kwa 6. Tsh 290k..bei imeshuka.
2.Godoro.comfy 5 kwa sita inchi 8 .Tsh 160K
3.SeaPeano..tsh 95k
4.Feni..tsh 30k
Vitu ni vipya coz ndo nilikuwa naanza maisha Arusha lakini ndo hivyo naondoka.
Nipo moshono..0673451548
View attachment 2591031View attachment 2591032View attachment 2591034
Hahahahah yani umepata mchongo wa tempo unauza mali zako? π Tena vitu vyenyewe vitatu tu. Si uvipeleke kwenu ukimaliza mishe utavichukua?Nahamia sehemu ambapo accomodation ipo..na itakuwa kwa miezi kadhaa kabla sijajua tena hatma yangu.
Ndo maana nimeona niviuze tu
Anataka mchongo ukiiasha aanze kununua tena kitanda na Godoro na sio aanzie alipoishiaHahahahah yani umepata mchongo wa tempo unauza mali zako? [emoji3] Tena vitu vyenyewe vitatu tu. Si uvipeleke kwenu ukimaliza mishe utavichukua?
A mind is a sensitive part of the body.Anataka mchongo ukiiasha aanze kununua tena kitanda na Godoro na sio aanzie alipoishia
Nataka nikija pande hizo nifikie gheto kwako π πmie vya nini wakati naishi kwetu na sihami ππ