INAUZWA Kitanda, meza na radio vinauzwa bei nafuu

Dada enu

New Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
2
Reaction score
4
Habarini wakuuu

Kitanda kinaunzwa cha chuma 5 kwa 6 kipya kabisa kwa 200k MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM

MEZA nzuri ya kujisomea hasa kwa wanachuo kwa 50k ina droo mbili za kutunzia vitu muhimu na moja ina funguo zake

Radio kwa 50k ina bluetooth,waeza eka flash card au memory card pia
Ina masafa ya AM na FM pia

Kwa picha zaid whatsapp

Ukihitaji pls dial 0758956924
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…